Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
[emoji599] OFFICIAL & CONFIRMED:
.
Klabu ya Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa beki wa kulia Kouassi Attohoula Yao kutoka Asec kwa Mkataba wa mwaka mmoja.
.
Yao (26) [emoji1132] anahesabika kuwa beki bora wa kulia pia na ubora wa kucheza kama winga mshambuliaji na kupiga krosi za mabao.