Simba SC imetangaza kukamilisha usajili wa mlinzi wa kati Che Fondoh Malone raia wa Cameroon (24) aliyekuwa akicheza Coton Sport FC de Goroua .
Che Malone anamudu kucheza nafasi mbili uwanjani , beki wa kati au beki wa kulia amekuwa tegemezi kwenye Kikosi cha Cotom Sports hata timu ya taifa ya Cameroon ameitwa mara kadhaa.
Vipi hali ya bahari huko ..! [emoji23]View attachment 2682853
[emoji23]Anakaba mpka umbeya huyu beki