Makapuku Forum

Takwimu bei za jumla mazao ya chakula nchini Machi 2022 ikilinganishwa na Machi 2023.
View attachment 2630797
...uhalisia wa hizi takwimu una walakini, ongezeko la 95% limeangalia mkoa wa DSM zaidi na masoko yake na siyo masoko nje ya Dar.

Kipindi hiki huku the big 5 gunia unaweza kulinunua kwa 35k, mfanyabiashara wa DSM karibu utengeneze faida mara tatu yaani kama muuza madawa vile
 
Binamu tufanye basi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…