briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Huku ni wap tena jamaa? .. panavutia
Huku ni wap tena jamaa? .. panavutia
Kaka silipendi jina la Manzi nakuomba utumie jina lingineIle baada ya kutoka Brazil inanayofata wanaenda ulaya. Ndo wanakutana huyo manzi maana
Jina lake kamili huyu binti anaitwa Maite Perroni kama sijakosea na ndiyo yeye yuko kwenye Fast & Furios ya 6 nadhani..Ni shida sana huyu binti..View attachment 350301ni huyu au
Am sorry Dada sitalitumia tena. [emoji120] nisamehe mimiKaka silipendi jina la Manzi nakuomba utumie jina lingine
Sidhani kama hilo jina ni sahihi aiseeJina lake kamili huyu binti anaitwa Maite Perroni kama sijakosea na ndiyo yeye yuko kwenye Fast & Furios ya 6 nadhani..Ni shida sana huyu binti..
Sijui kwanini sijairudia kabla mana mi movie zote nnazozielewa sana huwa narudia mara ya piliFanya hivyo.
Hahahah kumbe huwa unafanya hivyoSijui kwanini sijairudia kabla mana mi movie zote nnazozielewa sana huwa narudia mara ya pili
Kuna mpaka baadhi ya series yan nshazirudiaHahahah kumbe huwa unafanya hivyo
Kwema mkuu, habari ya wewe?Kwema wadau?
Kuna moja ya black American inaitwa new Jersey drive ya kitambo kidogo.Kuna mpaka baadhi ya series yan nshazirudia
Simbaaaaaa![]()
Aje[emoji780]
.......
Lake TanganyikaHuku ni wap tena jamaa? .. panavutia
Kaka umesamehewa uwe na Amani,picha nyingine hiiAm sorry Dada sitalitumia tena. [emoji120] nisamehe mimi
Shwari kabisa, karibukwema humu
Fresh mkuu, za huko ulipo?Kwema mkuu, habari ya wewe?
Ulibeba nguo za kuogelea?? [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ndo nafika ...lake Tanganyika ndo hilo lipo station ya treni....kesho naenda kuogelea
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
.........