Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
Queen Cup...Viva Barcelona Bingwa wa Kombe la Mfalme
Hongera sana kwa kufikaNetwork majanga....
Bado dk kiduchu tu kuingia kitup cha mwisho
Kweli tembea uone
![]()
![]()
![]()
........
KwemaKwema wadau?
Aje aje kiongoz? Blue Monday imekuendeaje?Kwema
Iko poa kabisa. Vipi uko fresh lakini?Aje aje kiongoz? Blue Monday imekuendeaje?
Huyo kwenye avatar ni LA gata au?Nawasalimu wote kwa busu takatifu![]()
![]()
![]()

Mi niko poa manIko poa kabisa. Vipi uko fresh lakini?
Aiiiii simjui hata jina lake ila napenda sana kazi zake za uigizaji,ila jina lake linaanza na A.Huyo kwenye avatar ni LA gata au?
![]()
![]()
Yupo kwenye fast and furious movies si ndioAiiiii simjui hata jina lake ila napenda sana kazi zake za uigizaji,ila jina lake linaanza na A.