briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Si ndio huyu amecheza ile movie ya avatar?Nashukuru sana. Huyu Dada anajua kuigiza sana. Kuna movie sikumbuki jina vizuri ila ni nzuri. Los Angeles inavamiwa kama na mapredator yeye ameigiza kama mwanajeshi