Makapuku Forum

Makapuku Forum

Yupo kwenye fast and furious movies si ndio
Yes hata hiyo yumo, halafu mwenziyo movie sishikagi hata majina yaani nikishika jina ujue yaani hiyo imenibamba siyo masihara, majina ya movie nilizoshika nyingi ni zile za utoto ila ukubwani huwa naangalia kujiburudisha nikimaliza na story imeishia hapo hapo.
 
1464016109268.jpg
ni huyu au
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom