Asante auntie yangu tubarikiwe sote kipenzi
duh, kumbe ndiyo iko hivi. Inaweza kuwa imetafsiriwa kutoka anga za Kanada na Marikani wanakowaita 'aliens'.Neno la sikuView attachment 2615229
Namba ya makiwendo ninayo, mzee mwenzangu hana baya na mimi...duh, kumbe ndiyo iko hivi. Inaweza kuwa imetafsiriwa kutoka anga za Kanada na Marikani wanakowaita 'aliens'.
Kwa hiyo Lee ni ajinabi hapa Bongo.
Makiwendo you are missed big time. Bado naendelea kuuliza kama TCRA wanawea kunipatia namba yako ya simu
Shunie mara zaote asante kwa magazeti na Je wajua
mkwepu jr popote ulipo kula chuma hicho, kivumbi leo , like-d the like
makaveli10 mdau veterani huna baya na mtu nakusalimia mwanaSimba
Makapuku, sehemu nzuri kabisa kuwepo sababu wewe upo
Namba ya makiwendo ninayo, mzee mwenzangu hana baya na mimi...
Nipo mkuu kibishi..
Wewe ni ajinabi wa wapi?
....mimi ni ajinabi wa kusini huko tunakula samaki wa mchangani.Namba ya makiwendo ninayo, mzee mwenzangu hana baya na mimi...
Nipo mkuu kibishi..
Wewe ni ajinabi wa wapi?