Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,013
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amesema idadi ya kuku wa kisasa waliopo nchini ni wengi ikilinganishwa na kuku wakienyeji.
Kuku wa kisasa wapo milioni 52.8 huku wakienyeji wakiwa milioni 45.1, pia Ulega amesema idadi ya kuku nchini inazidi kuongezeka ambapo mwaka wa fedha 2021/2022 jumla ya kuku nchini ilikuwa milioni 92.8 imeongezeka hadi milioni 97.9 mwaka wa fedha 2022/2023.
Ulega ameyasema hayo leo bungeni Jumanne Mei 2, 2023 wakati akisoma mapendekezo ya bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka wa Fedha 2023/2024.

Ednaldo Rodrigues ameripotiwa kuwa na uhakika mkubwa wa kumchukua kocha wa Real Madrid, Carlo Ancelotti kwenda kuinoa timu ya taifa ya nchi hiyo.
KOCHA ROBERTINHO: