Makapuku Forum

PRESS CONFERENCE | Kocha wa Simba ROBERTO OLIVIERA ‘Robertinho’ amesema kitu muhimu kwake na timu [Simba] ni kushinda japo anawaheshimu wapinzani na anatarajia mchezo mgumu.

Amesema ili kushinda mechi ngumu za aina hiyo unahitaji Kocha mwenye mtazamo chanya na kuwaandaa wachezaji wacheze vizuri na kushinda.
 
PRESS CONFERENCE | Kocha wa Wydad Casablanca amesema mechi yao ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Simba ni mchezo maalum lakini kitu muhimu kwao ni kufuzu kwenda Nusu Fainali.
 
Mjadala huru sasa, David De Gea ni Golikipa mzuri sana ila ameonekana akifanya makosa kadhaa haswa kwenye kuanzisha mchezo kutoka langoni kwake, naamini ana changamoto kubwa ya footwork na hii inamgharimu sana.

Pass ya jana kwa Maguire aliwahi mpigia Lisandro Martinez ila the Kid alikuwa bora na aliweza kuondoka eneo la hatari, je DDG hana makosa tumlaumu Maguire pekee?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…