Kwamba posta mkishasoma mnapewa na michongo ya pesa au halafu me sio mtoto wa kisasa miaka yangu 50 utaniita mtoto wa kisasa ebu nitake radhi[emoji28][emoji28] nyie watoto wa kisasa ndio mnaona haiwezekani .. ila sie wahenga unaona bola upande dala dala buku 2, ukasome hata vichwa vya habari vyote au wampoza muuza magazeti jero unasoma yote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah!!!!
Hivi auntie unamuelewa kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila wewe....
KUsoma magazeti na michongo ya pesa wapi na wapi.. unaweza ona tangazao la kazi ukapeleka cv..Kwamba posta mkishasoma mnapewa na michongo ya pesa au halafu me sio mtoto wa kisasa miaka yangu 50 utaniita mtoto wa kisasa ebu nitake radhi
Yaaaani....Hivi auntie unamuelewa kweli
Ngoja kwanza kwahiyo posta unapewa gazeti zima unasoma halafu unarudishaKUsoma magazeti na michongo ya pesa wapi na wapi.. unaweza ona tangazao la kazi ukapeleka cv..
Miaka 50 ya kwenda au ya kurudi [emoji28][emoji28]
[emoji23] Yaani sijui kafikiria nini ila nashukuru kwa kuninenea memaYaaaani....
Nimecheka sana....
Kwa jero tu, unasoma yote huku unapiga kahawa na kashata.. unarudi home saa nne kama umetoka kazini kumbe kusoma magazeti 😅😅😅Ngoja kwanza kwahiyo posta unapewa gazeti zima unasoma halafu unarudisha
Endelea kubisha nimekula chumvi me sio binti [emoji23]
Rais wa mashangazi[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Mzigo unakata tuuuu 😅😅😅[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Rais wa mashangazi
[emoji23][emoji23][emoji23] magazeti yote kwenye ubao kumbe ndio maana nilijua mnasoma vichwa vya habari tuKwa jero tu, unasoma yote huku unapiga kahawa na kashata.. unarudi home saa nne kama umetoka kazini kumbe kusoma magazeti [emoji28][emoji28][emoji28]
Haya bibi chekaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mzigo unakata tuuuu [emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 2587380
Na wewe pia unapita kimyakimya kweli jamaniNapitaga kimya kimya kucheki vichwa vya habari [emoji28][emoji28][emoji28].
Siku ukiwa huna jero , unasoma vichwa vya habari tu.. nyie watoto mmeishi maisha mazuri sana.. 😅😅[emoji23][emoji23][emoji23] magazeti yote kwenye ubao kumbe ndio maana nilijua mnasoma vichwa vya habari tu
Namshukuru Mungu nipo vizuri hofu kwako tuU hali gani leo mrembo?