GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,078
- 16,398
Asante pia.Asante sana Genuine kwa kushukuru barikiwa
Shukrani kipenziAsante pia.
Auntie umebaki peke yako na mpweku😂Nilijua tumaana mpaka juzi kaingia mtu anacomment hii thread haina wachangiaji kabisa yupo mtu mmoja tu nilicheka sana kimoyomoyo
Kama wamekufa Mungu awapumzishe kwa Amani.Ila huu uzi umeupambania sana. Wadau sijui walishaga kufa
Ushakuwa na uraibu na uzi wako😀😀Kama wamekufa Mungu awapumzishe kwa Amani.
Auntie kuna mda siingii jf nikija makapuku hakuna mtu nasema bwana sipost kitu huwezi amini ikifika mda mwenyewe napost tuyaani sijui ni nini
Ushakuwa na uraibu na uzi wako
Uzi wa tangu tarehe 9/04/2016 hadi leo sio mchezo hapo wapo walio kufa pia wapo walio hai. Watakuja kuchungulia kama nilivokuja mimiKama wamekufa Mungu awapumzishe kwa Amani.
Auntie kuna mda siingii jf nikija makapuku hakuna mtu nasema bwana sipost kitu huwezi amini ikifika mda mwenyewe napost tuyaani sijui ni nini
Auntie Aksha ebu njooUzi wa tangu tarehe 9/04/2016 hadi leo sio mchezo hapo wapo walio kufa pia wapo walio hai. Watakuja kuchungulia kama nilivokuja mimi
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
shangazi nimekumissAuntie Aksha ebu njoo
Nimekumiss pia we mzeeshangazi nimekumiss
Ibrah jamaniKuchungulia lazima tuje
Akina ibra ndio basi tena
Unaweza kuta sio huyo tu, wengine labda taarifa haipo!Ibrah jamanitena tulikuwa tunasoma story tunaambiwa kafariki
Kweli auntie ujue au labda wengine wamebadili I'dUnaweza kuta sio huyo tu, wengine labda taarifa haipo!
nakumiss mpk naumwa,nimelazwa mapumzikoNimekumiss pia we mzee
Mh unaumwa kweli we mzeenakumiss mpk naumwa,nimelazwa mapumziko
kweli kbsMh unaumwa kweli we mzee
Pole sana nini zaidikweli kbs