1999- Steve McLaren anakuwa Kocha Msaidizi wa Sir Alex Ferguson na wanabeba makombe matatu msimu ule.
2008- Kocha Steve McLaren akiwa Kocha Mkuu, anamchukua Erik Ten Haag kama Msaidizi wake pale FC Twente.
2023- Erik Ten Haag anasherehekea ubingwa akiwa na Steve McLaren kama Msaidizi wake.