Kumekucha amkeni msomr magazeti sasa
Umeamkaje etiii[emoji87]
KaribuAhsante
🤣🤣🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Unachocheka auntie yangu naomba ubaki navyo mwenyewe niachee nimeokoka usinitoe upako
Hujambo?Abeeh we mzee
Auntie nimesema niacheee [emoji1787][emoji1787] me na we jana hatujaonana humu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Auntie habari za jana?
Sijambo we mzee habari za weweHujambo?
😂😂😂😂😂Sema haki ya nani!!Auntie nimesema niacheee [emoji1787][emoji1787] me na we jana hatujaonana humu
Auntie una nini lakini ebu niache mie habari za jana nimeshasahau [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sema haki ya nani!!
Yaani unaanzaje kuzisahau? Huo ni ukosefu wa adabu.Auntie una nini lakini ebu niache mie habari za jana nimeshasahau [emoji23][emoji23]
Auntie kweli unicheke habari za jana na zako bado hazijaisha na mmeshaisha [emoji23]Yaani unaanzaje kuzisahau? Huo ni ukosefu wa adabu.
Auntie mimeuliza za jana. Wewe subiri kesho ndio uniulize🤣🤣Auntie kweli unicheke habari za jana na zako bado hazijaisha na mmeshaisha [emoji23]
Hapana auntie tunamaliza leo leo [emoji1787][emoji1787] ukiona mwenzio ananyolewa tia maji nywele zako sio unamchekaAuntie mimeuliza za jana. Wewe subiri kesho ndio uniulize[emoji1787][emoji1787]