Cha kukunyima sina madam😁😁😁Za mimi safi kabisa [emoji1787][emoji1787] hiyo shikamoo unataka kuninyima nini etiii huyo kivuruge ni nani jamani akufungie hivyo hata makapuku usije kusoma magazeti
Kivuruge huyu hapa huyu........!👇👇
cocastic
Cha kukunyima sina madam😁😁😁Za mimi safi kabisa [emoji1787][emoji1787] hiyo shikamoo unataka kuninyima nini etiii huyo kivuruge ni nani jamani akufungie hivyo hata makapuku usije kusoma magazeti
Ongeza nyingine madamJumamosi ya chupa ya kijaniiiiView attachment 2513867
Hahhaha nipo namsubiri
Tunaishi mara moja tu unapopata nafasi ya kuenjoy enjoy tu hatujui kesho yetuOngeza nyingine madam
Maisha ndo haya haya
Hakika madamTunaishi mara moja tu unapopata nafasi ya kuenjoy enjoy tu hatujui kesho yetu
Aaaah mjep mambo gani sasa unaleta nilishasahauHakika madam
Kwanza pole kwa kufungwa na Haloya
Pole sanaAaaah mjep mambo gani sasa unaleta nilishasahau
Enjoy ur bottle's [emoji847]Jumamosi ya chupa ya kijaniiiiView attachment 2513867
Kesho mniombee ili niwaletee magazeti maaanaPole sana
Shushia light 2 unasahau
Ila usiache kutuletea magazeti ya kesho [emoji16]
Thank you Boog [emoji847]Enjoy ur bottle's [emoji847]
CheupeThank you Boog [emoji847]
Abeeh we mzeeCheupe
Kumekucha amkeni msomr magazeti sasaPole sana
Shushia light 2 unasahau
Ila usiache kutuletea magazeti ya kesho [emoji16]