Makapuku Forum

Kama ina mambo ya mnyanduano usiniite hata kwa bahati mbaya asee
Khaaa story za mnyanduano za nini mimi hata kusoma huwa sizisomi inatisha usimualiaji wake sio mambo za mapenzi na hakuna mapenzi kabisa

Nakuonaga unapenda story ndio mana nimekwambia
 
Oohh hapo sawa mwanastory mwenzangu, hebu naomba nitag huko maana sasa hivi story pekee niliyobaki nayo ni ya BM baada ya UMUGHAKA kumaliza, sema naye kutupia episode ndio hivo tena mpaka roho mtakatifu aingilie kati
 
Wala ni ile ile sema sijui kwanini wameiita S6, ndio maana sipendi haya masignature sijui nalitoaje yani napata tabu, kila comment nayoandika nikipost lazima niedit Kufuta hiyo japo kuna muda inatoka yenyewe tu
Njoo nikufundishe😂😂😂
Uje na elfu kumi na mia tano.
 
Oohh hapo sawa mwanastory mwenzangu, hebu naomba nitag huko maana sasa hivi story pekee niliyobaki nayo ni ya BM baada ya UMUGHAKA kumaliza, sema naye kutupia episode ndio hivo tena mpaka roho mtakatifu aingilie kati
Mie siku hizi sina mood kabisa.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…