Makapuku Forum

“Tunategemea kupanga kikosi kamili kwakuwa tunaenda kukutana na timu Bora. Tutacheza kwa kufuata falsafa za Simba, tunashambulia na kukaba kwa pamoja lakini lengo letu ni kuhakikisha tunapata pointi tatu”

- Kocha Robertinho.
 
MUSONDA: SASA NIMERUDI NAJIAMINI
.
“Mimi ni mshambuliaji kitu kikubwa kwangu ni kuisaidia timu kupata ushindi, kawaida usipofunga kuna presha inakuja lakini niliamini nitafunga,”
.
“Presha sasa imeondoka niko huru, hali ya kijiamini imerudi tena nimefunga wakati timu ikishinda vizuri, sasa kazi ni moja kumuomba Mungu ili nifunge zaidi katika mechi zinazofuata,”
 
WAWA: HATUFANYI MAKOSA
.
.“Naiheshimu Simba ila kwa upande wa kazi nikiwa uwanjani dakika 90 akili na nguvu zangu zinakuwa kuitetea timu yangu kupata pointi tatu. Ndio maana nasisitiza utakuwa mchezo wa kuvutiwa.
.
“Tunataka kuionyesha Simba sisi ni washindani na tunahitaji nafasi za juu na timu yetu tupo wachezaji wazoefu, ambao tutataka kulinda heshima yetu,”.
 
ROBERTINHO: USHINDI MECHI ZOTE
.
Kocha wa Simba, Mbrazili, Roberto Oliveira ‘Robertinho ameweka wazi kuwa amajipanga na Wachezaji licha ya kuzidiwa alama sita na vinara Yanga kubwa kwake ni kuona timu inabeba taji hilo na amekaa na chini na wachezaji wake kuhakikisha wanaelewa anachotaka.
.
“Tunahitaji kushinda ubingwa wa ligi ili kukamilisha hilo, lazima tushinde mechi zote tulizobaki nazo huku tukiangalia wapinzani wetu aina ya matokeo yao na uzuri wake tuna mchezo nao,tukishinda tunazidi kupunguza pointi ilizonazo,”
 
Beki Raphael Varane (29) wa Manchester United leo ametangaza kustaafu kuichezea timu ya taifa ya Ufaransa ambayo alitwaa nayo Kombe la Dunia 2018.

Varane ambaye amecheza mechi 93 za timu hiyo ya Taifa
ametaja sababu ya maamuzi hayo ni kupisha vijana wadogo kupata nafasi kuonyesha mchango wao.

 
Habari wana JF

Habari,
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.

Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za kukabiliana na mambo yote hum

Karibu sana
Tupeane mbinu za kukabiliana na mfumuko wa bei
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…