Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,849
Unaadimika sanaNawamiss sana
Unaadimika sanaNawamiss sana
nipo mrembo,we ndo unaadimika sana,kwa ibrah sikuoniUnaadimika sana
Hahaaanipo mrembo,we ndo unaadimika sana,kwa ibrah sikuoni
Ndio niniii sasa kujibadili
[emoji1787][emoji1787]Ndio niniii sasa kujibadili
Endelea na muonekano mpya[emoji1787][emoji1787]
hahahahaHahaaa
Leo utaniona
Unauonaje lakini muonekano, au unamuogopa [emoji1787]Endelea na muonekano mpya
Mbayaaaaa lakini kama unakupa amani ya moyo endelea naoUnauonaje lakini muonekano, au unamuogopa [emoji1787]
Inanikosha,niukumbusho kwa vijanaMbayaaaaa lakini kama unakupa amani ya moyo endelea nao
Hongera sana Binamuu...Mungu aibariki familia kwa ujumla. Uwiii nakuja PM kutuma pesa ya diapers. Ukoo unaongezeka🥳🥳Ndugu zangu, namshukuru Mungu nimefanikiwa kupata mtoto wa kiume
Shemeji yenu, wifi yenu, shangazi yenu a aendelea vizuri.
Mkimuona obe, mumpe taarifa
Makapuku ni familia yangu.
Huwezi amini, nimekumisi kinoooma.Hongera sana Binamuu...Mungu aibariki familia kwa ujumla. Uwiii nakuja PM kutuma pesa ya diapers. Ukoo unaongezeka🥳🥳
Aksante ,ila humu mbona ndiyo wale wale wanajadili mambo ya magari kule?
🤣🤣🤣🤣
[emoji8][emoji8]