National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
Umeisha ingia Buenos Aires πππ maana hamna mchezo mchezo nyie watu wazito[emoji8][emoji8]View attachment 2451951
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umeisha ingia Buenos Aires [emoji16][emoji16][emoji16] maana hamna mchezo mchezo nyie watu wazito
πππππ heshima yako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndiyo tunaelekea huko...
Tuta'land muda siyo mrefu
Hao wamevamia bogi tu mkuu..Aksante ,ila humu mbona ndiyo wale wale wanajadili mambo ya magari kule?
Hii thread ya world cup eenh auntie[emoji8][emoji8]View attachment 2451951
MakubwaHao wamevamia bogi tu mkuu..
Angalia peji ya mwanzo ndiyo utajua dhumuni la uzi [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Auntie tuvumiliane tu...Hii thread ya world cup eenh auntie
ππππMcheze salama mnaoamini katika kukutana bahati mabaya kwenye wiki la sikukuu, kondomize
AmenMnaosafiri kuungana na familia msimu huu basi safari njema na mfurahie sikukuu vizuri
π€£π€£π€£π€£π€£
Na kwako pia kipenziWow
Kuna hizi vitu zinamwagika mwagka kwa screen ya simu
Very beautiful [emoji3059]
Merry Xmas and Prosperous New Year Makapuku [emoji3577]
Unaenda wapi Tetra.........[emoji2221]