NimezionaAtakuja mwenywe ataona salaam zake
😂😂😂 niko singleee dada ila kwa mbaliii I’m takenBinti mrembo wewe huwezi kuwa single
Si ndio!!Wewe aunt ushamuibia mwingine na ukachange I'd..
Napumua kwa neema za Allah.. nilisikia umeachikaSi ndio!!
Kumbe bado upo hai?
Wapi tena wakati mie mtoto bado mbichiii, hata sijawahi. Sasa unaachikaje kama hujakamatika?🤷🤷🤷Napumua kwa neema za Allah.. nilisikia umeachika
Wapi tena wakati mie mtoto bado mbichiii, hata sijawahi. Sasa unaachikaje kama hujakamatika?![]()


Mbona unacheka mkuu?