Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,294
Njemaa sana za kwako shemSalama za wewe
Njemaa sana za kwako shemSalama za wewe
Tuko pamojaHabari wana JF
Habari,
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za kukabiliana na mambo yote hum
Karibu sana
Ndio tulikuwa tunapendezana lakini ndio hivyo bwanahOooh ilikuaje jmn mbn mlikua mnapendezana
Salama kabisa shedNjemaa sana za kwako shem
Nianze zangu kuvuta bangi sasa
......viriditas est veritas. Kwenye bangi kuna ukweli, sio mimi walatini hao. utanishukuru baadayeNianze zangu kuvuta bangi sasa
....Ijumaa leo acha kuuliza mambo magumu magumu, tuna mengi ya kufurahia leoOooh ilikuaje jmn mbn mlikua mnapendezana
Aloooh.....Ijumaa leo acha kuuliza mambo magumu magumu, tuna mengi ya kufurahia leo





....Ijumaa leo acha kuuliza mambo magumu magumu, tuna mengi ya kufurahia leo



dah😅😅😅 Lenie akila hiyo kitu atapupu.. Hapo mtumiaji mashuhuri wa hiyo kitu ni Depal ... 😅😅National Anthem naomba umuulize hili swali Lenie tujue ni kweli?
😆 🤣 Alafu kashachemsha mayai, matango na maharage 🤣🙌 sahivi anatumia magnesium!
😅😅😅😅 Sasa hivi ana mwendo kama bata😆 🤣 Alafu kashachemsha mayai, matango na maharage 🤣🙌 sahivi anatumia magnesium!
Cjui aliwaza nini kuchemsha mayai mengi vile 🤣 ila pisi ya kimeru😅😅😅😅 Sasa hivi ana mwendo kama bata
😅😅😅 Anajihami hivyo, kuna mahala atakuwa anaenda yule.. akitoa mafyuzi mengi jamaa ataelewa tu na kuwa mpole.. wanawake wana mbinu mingi sanaCjui aliwaza nini kuchemsha mayai mengi vile 🤣 ila pisi ya kimeru
Hivi ulivyoenda kuna club miaka hiyoo ilikuwa inaitwa velocity, club D moshono, pin point na via via bado zipo?😅😅😅 Anajihami hivyo, kuna mahala atakuwa anaenda yule.. akitoa mafyuzi mengi jamaa ataelewa tu na kuwa mpole.. wanawake wana mbinu mingi sana
Viwanja vya Depal hivyo.. Mie ujanja kwa hii tanzania umelalia Mwanza, Dodoma na Dar es Salaam tu.. Kwingine huko nakuwa wa baridi kama nime mwagiwa maji.. Hata machaka yake nakuwa siyajuiHivi ulivyoenda kuna club miaka hiyoo ilikuwa inaitwa velocity, club D moshono, pin point na via via bado zipo?
Cjui aliwaza nini kuchemsha mayai mengi vile 🤣 ila pisi ya kimeru