Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,450
- 203,040
Via via ipo.. kwa wazungu😂Hivi ulivyoenda kuna club miaka hiyoo ilikuwa inaitwa velocity, club D moshono, pin point na via via bado zipo?
Club D ipooo.. tunapeleka watoto kucheza mchana
Pin point kwa wenye Mrina yaoo
Velocity sipajui
