Hii nakubaliana nayo, usipomdanganya mti utajidanganya mwenyewe
Asante kwa magazeti
Tumekumiss pia dear [emoji8] asante kwa kushukuru na karibu sana makapuku [emoji847]Hellowzzzz guizzzzz nimewamic makapukuuuu.
Da shuu tanteee kwa magazetiii, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Hahahhahah eti na mabegi umetuaNdo nimeingia hapa na mabegi nshatua, mic u mnoooooo.
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]