Makapuku Forum

Mamelodi Sundowns wamefanya maboresho kwenye bench lao la ufundi ambapo Kocha Rulani Mokwena ndie Kocha Mkuu kwasasa huku Steve Komphela akiwa Kocha wa timu ya kwanza na Manqoba Mngqithi anasimama kama Kocha mwandamizi (Senior Coach).
 
Moja kati ya wazo kubwa la Jose Mourinho ni kuwa wachezaji wote wenye asili ya Afrika wacheze kwenye timu zao za asili na sio Ulaya, anaamini Afrika ina uwezo wa kutoa bingwa wa kombe la dunia kama vipaji vyao vikavaa jezi za nchi zao.
 
Kocha Lavagne ana profile kubwa sana kuanzia soka la vijana nchini kwao Ufaransa mpaka mafanikio makubwa na timu za Afrika kwenye ngazi ya klabu, Azam walimuajiri na tayari katimuliwa.

Tujiulize maswali kadhaa ambayo yanafikirisha kama kila Kocha anashindwa kuyajibu, nani anayo majibu sahihi?

- Azam wanataka nini kwasasa? Wana mfumo sahihi wa kuelekea wanachotaka? Malengo yapoje kwa ajili ya kufika? Na je ni mchakato wa kulala na kuamka?
 
Alisemaga pele kiwa timu ya africa itashinda kombe la dunia kabla ya mwaka 2000 lakini wapi.
Wanachoshundwa kutambua hawa watu ni kwamba tatizo la mpira africa sio ukosefu wa vipaji bali utawala mbovu katika soka.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…