Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
Hahahaleo sikwenda ndugu yangu
Ila neno nimesoma![]()
Mbona hao watu wa huko hawapendwi?? Sana sana wanasifika kwa ubishi tuHahaha
Si ndo mambo ya kupendwa hayo yana taftwa
Inabid anletee kwa kweli
Kujificha tu maana hamna namna sasaHahahahaa
Unenda wap sasa!!?
Sasa itabid ifanyike namna apoAbsolutely![]()
![]()
![]()
How sweet are you???Hapana, manake mi ni zaidi ya chai
AaahAu uhame![]()
![]()
Mi sio wa salary Bali wa weekendNaona wazee wa salary mnabadilishana mawazo!!
Tuandamane basi ili kesho irudi kuwa ijumaa
Ulikuwa tanga kaka ake??Wale wa Tanga bye bye aisee
HahaaaaHapana week ya salary hii
Hapana Dada. Nasemea timu za tanga zimeshuka darajaUlikuwa tanga kaka ake??
Tanga kunani?Wale wa Tanga bye bye aisee
Niadje broHapana Dada. Nasemea timu za tanga zimeshuka daraja
alaa kumbe, unalipwa kwa wiki kama akina Messi?Mi sio wa salary Bali wa weekend
Yani kifupi mi ni jipu natamani kila siku iwe friday