Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,543
- 35,401
Waja Leo waondoka leoTanga kunani?
Waja Leo waondoka leoTanga kunani?
Safi sana dadaNiadje bro
Wajipange upya!!Waja Leo waondoka leo
Ngoja tuone kama watapanda tenaWajipange upya!!
Teh tehMbona hao watu wa huko hawapendwi?? Sana sana wanasifika kwa ubishi tu
huko chini kugumu sanaNgoja tuone kama watapanda tena
Kuna fitna nyingi sanahuko chini kugumu sana
sana mkuu...hata Julio analijua hiloKuna fitna nyingi sana
EeehWandugu kwema hapa? Namshukuru Mungu afya yangu inaimarika.
Niwatakie usiku mwema
Pole banduguWandugu kwema hapa? Namshukuru Mungu afya yangu inaimarika.
Niwatakie usiku mwema
Mgosi msimu mzima ana goli moja kama barthez hahahYaan simba ndo hamna kitu
Nme wacheka mpaka stail za kuwacheka zmeisha
HahahaMgosi msimu mzima ana goli moja kama barthez hahah
Hahaha kwani Leo barthez ilikuajeHahaha
Yaan Muro alivo sema vile nme cheka hataree, cjui aliwaza nini
Umejuaje[emoji780]Unataka umfanyie nani sasa?? Mbona waha wala hawapendwi kihivyo????
Barthez kapiga penalt aka funga, sasa ndo akawa ame level na bwana MgossiHahaha kwani Leo barthez ilikuaje
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahahahah kumbe. Muro ana utani wa ngumi sasaBarthez kapiga penalt aka funga, sasa ndo akawa ame level na bwana Mgossi
Et muro amwambia Kitenge walifanya apge barthez kwa makusudi
HahahaHahahahah kumbe. Muro ana utani wa ngumi sasa