Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Unachocheka nimekielewa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unachocheka nimekielewa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] Ila auntie umeongea point ujueNakuachaje na unakazana na vitu vya ajabu njiani?
Sasa auntie unapingana na tafiti[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Auntie unatufunga kamba eeh!!
🤣🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23] Ila auntie umeongea point ujue
Aaah!! Hapana kwakweli.Sasa auntie unapingana na tafiti
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwakweli acha niishie tu nilipofikia ujue kuna mda unakuwa kama chizi yaani kila hela ukipata unaipeleka site halafu mwisho wa siku unakufwa wanagawana ndugu vitu vyako we unaoza tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuendelee kumwagilia moyo auntie, angalau huo tutakwenda nao.
Mwambieee chakudeka wako aturudishie kumbe ulimwachia ulivoenda kwa cheupeeeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ha ahahahaj, ulikuwa unaniambia nikapaki ili tutumie pajero lako.
Hahahahahahaha bosslady tokea lini itakuwa espy alishika simu yakooNiko poa sijui ndio ex babe sijui ndio ushakuwa nani babe wa watu. [emoji1787][emoji1787] naomba tu muamala usome yaani nipo juu ya mawe we hata kunikopesha nikopeshe tu [emoji847]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwakweli acha niishie tu nilipofikia ujue kuna mda unakuwa kama chizi yaani kila hela ukipata unaipeleka site halafu mwisho wa siku unakufwa wanagawana ndugu vitu vyako we unaoza tu
Sasa kwanini uwaachie matatizo ya kugombana ndugu zako?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwakweli acha niishie tu nilipofikia ujue kuna mda unakuwa kama chizi yaani kila hela ukipata unaipeleka site halafu mwisho wa siku unakufwa wanagawana ndugu vitu vyako we unaoza tu
Shikamoo mama mkweSasa kwanini uwaachie matatizo ya kugombana ndugu zako?
Marahaba kikuu! Hujambo wewe?Shikamoo mama mkwe
Nimeshushuka mno Auntie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa mimi kosa langu nini auntie
Niko hapa Obe.......ila aunt unakumbuka safari yangu ya kuja Dar, nije kuona daraja la Tanzanite nipige na picha!? Nilishindwa na sasa najichanga niongeze kidogo ili niende hapo mlimani, si wamesema 950 tu, yaani nikiwa na buku wananirudishia fifte. Hapa namsneak in Makiwendo kwa ajili ya kuutazama mlima hadi kileleni
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].....mobitel walinipa meseji nyingi kuliko mahitaji yangu.
Sababu mimi nikiandika na kulitakia penzi jipya siku njema sijui tena niandike nini!?
Hapa nasubiri muda ufike niandike good morning
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuendelee kumwagilia moyo auntie, angalau huo tutakwenda nao.
Si ndio dada yangu!![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Bado nikakuweke kwenye bango sokoni kabisa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Auntie umekuwa kama Espy jamani....
Imagine na deni lake ananitangaza kila mahali[emoji3]JF ndiyo usiseme[emoji28][emoji28][emoji28]
Hebu mwambie huyo....mawazo haya unafanya sisi wapangaji tuonekane hatuko makini. Wewe kunywa bia, nyumba haijengwi kwa laki moja
Mbona Kipenzi[emoji1787]Si ndio dada yangu!!
Na kampango ka kulisha twiga usikasahau kipenzi changu[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]