Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,182
- 35,323
Aiseeee....Bado nikakuweke kwenye bango sokoni kabisa.
Itakuwa poa tu...
Nikae kwa Billboard mie.....Alooooooh!
Aiseeee....Bado nikakuweke kwenye bango sokoni kabisa.
Basi majinja😏😏😏😏Mbona Kipenzi[emoji1787]
Sina hela aiseeee....
😏😏😏😏Aiseeee....
Itakuwa poa tu...
Nikae kwa Billboard mie.....Alooooooh!
Vile nikiongea ukweli wangu naonekana muongo sawa bwanaHahahahahahaha bosslady tokea lini itakuwa espy alishika simu yakoo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani auntie yangu una akili sanaSasa kwanini uwaachie matatizo ya kugombana ndugu zako?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] niliona tu nadanganywa danganywaNimeshushuka mno Auntie[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niko hapa Obe....
Wewe endelea kuzisaka hizo Mula tuje tuzitumie...
[emoji23][emoji23][emoji23]Hebu mwambie huyo.
Waachie madeni wapambane nayo🤣🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani auntie yangu una akili sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waachie madeni wapambane nayo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na wewe pia binamuuHappy Furahiday wadau wema wa Jukwaa hili.
![]()
Simba jezi ndo hawatoi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijambo nilikumissMarahaba kikuu! Hujambo wewe?
Kiukweli sijui nipo na stress zangu hawa simba watajua wenyewe nasubiri tu wazitoe nikutafute unipeleke vunja beiSimba jezi ndo hawatoi?
Asante binamu na kwako piaHappy Furahiday wadau wema wa Jukwaa hili.
![]()
Hivi Auntie hii huwa Inafanyaje kazi?..Unayetumia tapatalk ebu niambie kwako inafunguka au wameshapewa ban