Makapuku Forum

Makapuku Forum

Our price is $950 USD for non Tanzanian $560 for Tanzania per villa per night includes 3 meals for 2 adults and 2 kids under 7 , we have beautiful views of Mt. Kilimanjaro and Meru we have beautiful big jungle land to have fun around ,the villas is 120 square meters, with master bedroom ( no extra beds) and changing room and master bathroom, we have balcony and outdoor seating area this price for 1 or 2 adults with kids or without it’s same price

the price for visit only 1 hour will cost you 100,000 TSH per person and for the kids 30,000 TSH , if you are not tanzanian will cost you $200 USD and for the non tanzanian kids $100
Thank you
...si bora niende tu nikakae kijiji cha karibu au nifanye camping kabisa (ninaandika tu sababu hiyo bei sijaandikiwa mimi, kuna wahusika waliondikiwa hiyo bei)
 
binamu usivyoweza wewe hata mimi siweziiii
...ila aunt unakumbuka safari yangu ya kuja Dar, nije kuona daraja la Tanzanite nipige na picha!? Nilishindwa na sasa najichanga niongeze kidogo ili niende hapo mlimani, si wamesema 950 tu, yaani nikiwa na buku wananirudishia fifte. Hapa namsneak in Makiwendo kwa ajili ya kuutazama mlima hadi kileleni
 
...anko, koneksheni hii ina nyaya nyingi sana bado natafuta router nzuri ya bei himilivu halafu nitakuja ufanye assist.

Unapotea sana anko wangu, nina salamu zako hadi zinachacha lakini kwa kuwa asali haichachi, habari ya jana kama hujaipata ni mpya leo, nitakupa salamu zako toka kwa yule mgunya wa Tanga
Ankoo hili penzi jipya linakaba ata sms za songesha
 
Good morning good peeps na kama ilivyo ada baada ya kusalimia kizungu tunarudi kwenye lugha adhimu inayoelekea vizuri pale ukianza kumpiga majungu bosi eneo la kibarua, na siku inakuwa nzuri pale unapogundua kuwa kwenye mwendo kasi tiketi imeandikwa saa
 
Ankoo ....naomba kile vitz chako huku mama auanipiga wa kutosha ...
 
...ila aunt unakumbuka safari yangu ya kuja Dar, nije kuona daraja la Tanzanite nipige na picha!? Nilishindwa na sasa najichanga niongeze kidogo ili niende hapo mlimani, si wamesema 950 tu, yaani nikiwa na buku wananirudishia fifte. Hapa namsneak in Makiwendo kwa ajili ya kuutazama mlima hadi kileleni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom