🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Atakujibu yupo na penzi jipya kamfichia simu
Kupost labda.. AU?Kusaidiana nini tena mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Auntie makii njoo umuone mama yako
Auntie nibebe basi...Auntie makiii simba day vipiiii yani naona natamani tamani kwenda yaani. [emoji2356] mwenye anaenda anipee lift
Dah me natamani kubebwa nipewe lift na we unataka kunibeba. [emoji1787][emoji1787][emoji1787] nipakize kwenye jeep yakoAuntie nibebe basi...
Na mimi nikatoe ushamba kwa Mkapa...
Au utakuwa na mtoto wa mtu?[emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kupost labda.. AU?
Eenh bwana watu na mapenzi mapya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jezi mbili [emoji847] ila size kwa vunja bei changamoto aisee za kike za mwaka jana nilimtuma boda alirudisha mara mbili size ndogo sana sijui za sasa hiviTunasubiria jezi mpya kitengo changu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwakweli na maisha yanaendelea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kudaiwa siyo kesi Auntie
Auntie unanitukana hadharani kabisa...Dah me natamani kubebwa nipewe lift na we unataka kunibeba. [emoji1787][emoji1787][emoji1787] nipakize kwenye jeep yako
Aloooh. [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila havinaga mda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Penzi lipo site
MhWale si unajua wanaongeza tarakimu zai mbele Auntie[emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aloooh. [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila havinaga mda
Kwa elfu 7000!Auntie hata mimi?
Aki Wallahi!!! Auntie
Ndiyoooooo...Kwa elfu 7000!
Zamu hii si tunaenda woteee?Jezi mbili [emoji847] ila size kwa vunja bei changamoto aisee za kike za mwaka jana nilimtuma boda alirudisha mara mbili size ndogo sana sijui za sasa hivi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ebu nipakize bwana hata nyuma tuAuntie unanitukana hadharani kabisa...
Hiyo Jeep imetoka wapi Auntie?
Usimsikilize yule Mwehu[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tunamsubiri kwa hamu zote[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tupo tumekaa pale