🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Si ni wewe unalifanyia kazi lile jambo....
Na ukamwambia Auntie ni pesa hiyo...
🤣🤣🤣🤣Mnanivurugaaaa me siwaamini hata mmoja
Me hapana jamani siamini hata kimoja[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyie andaeni elfu saba mia tano.
🤣🤣🤣🤣Ushawahi kukwama wewe halafu unakopa tigo unakopa na voda [emoji1787][emoji1787][emoji1787] unawajua branch wewe auntie Espy Atoto sitaki maswali yako
Tulia wewe!! Inamaana huamini wakubwa zako?Me hapana jamani siamini hata kimoja
Nasemaje sio kwa elfu 7 bwanaTulia wewe!! Inamaana huamini wakubwa zako?