Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,192
- 35,370
Auntie.....Leo niko na mizigo akiii ningekutafuta nikitoka job
Naomba simu iite tafadhali...
Na hii Weather.....Kama tupo Mgombani...
Auntie.....Leo niko na mizigo akiii ningekutafuta nikitoka job
Nisingekuwa Simba.....Mazoezi ya kujiandaa kufanya kazi ya Wanasimba yameanza.
View attachment 2300653View attachment 2300654View attachment 2300655View attachment 2300656View attachment 2300657
Eti " Baby nishukie Wapi?"[emoji1787][emoji1787]Picha ambazo haziuzwi popote na hazinunuliki popote, hazipatikani kila sehemu na hazipigwa kirahisi
Picha ambazo unazipata kutokana na kuwa bora, picha ambazo Cameraman anatulia kama wewe na Mkeo au Mumeo, picha ambazo zinatazamika kama “BABY NISHUKIE WAPI”
Picha ambazo sio Cameraman anaweza kuzipiga! Picha ya SIMBA na BAYERN MUNICHView attachment 2300665
Nipo Mpendwa...Upooo
Hapana mpenzi🤣🤣🤣Au nawe unahitaji ulinzi mama
Niko salama tunaendelea na kusikiliza kelele za vibarua wa selikariNipo Mpendwa...
Unaendeleaje?
Sawa mama maana usalama wako ni mhimu na ni moja ya ahadi yangu kwenye kile cheti cha ndoaHapana mpenzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
mambo bull bullNdio si unajua vibarua wa Tanzania tumepewa nyongeza ya mshahara
Na wakulima mazao yako juu
Na wafugaji saiz Mifugo tunauza juu
Mambo ni juu kwa juu
Siku nikihitaji ulinzi nitakwambia mpenzi.Sawa mama maana usalama wako ni muhimu na ni moja ya ahadi yangu kwenye kile cheti cha ndoa
Hapa nilipo hawajambo sana...Mvua tu.Niko salama tunaendelea na kusikiliza kelele za vibarua wa selikari
Maana Tanzania ya malalamiko yasiyo na majibu
Hawajambo hapo ulipo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mambo bull bull
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Siku nikihitaji ulinzi nitakwambia mpenzi.
hahahahahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bumper to Bumper
Hahaha sawaSiku nikihitaji ulinzi nitakwambia mpenzi.
Inawezekana uko ukanda wetu huuHapa nilipo hawajambo sana...Mvua tu.
Juzi nilikuwa dukani bati laki sita kwa badle nikasema asante serikali yetumambo bull bull
Hapana Mndali....Inawezekana uko ukanda wetu huu
Kuna sehemu mvua inanyesha kuna sehemu jua linawaka
Poleni jitahidi tu kuwalinda watoto kwa kuwavalisha nguo nzito nzito
Amen makiwendoHapana Mndali....
Sipo huo Ukanda....hii Baridi ya huu Mwaka kiboko....
Masweta Wanavaa/ Tunavaa...Maana hili baridi hakuna Mkubwa wala Mdogo....
Zaidi sana Ahsante kwa kujali Mndali....Barikiwa.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Amen makiwendo
Ubarikiwe nawe
Nyehunge nililimiss hilo neno🤣🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Punguza Ukauzu Kimandolu wewe....