Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,011
- 31,798
Ndio maana tukisema zote utahitaji uongozane na Mimi muda wote wakati ulitakiwa ufanye majukumu mengne ya familiaKumbe huwa tunadanganywa
Ndio maana tukisema zote utahitaji uongozane na Mimi muda wote wakati ulitakiwa ufanye majukumu mengne ya familiaKumbe huwa tunadanganywa
DuuuhNyieeee eti naona wivuuu sijui ndio roho ya kichawi hii. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tatizo hajanitumia ankaunt yake ya benkKaka akee mpe helaaa
Huyu dogo alizingua sana pale city amebaki mwingereza mwingne grishRaheem Sterling in Chelsea kit [emoji419] usajili ambao Kocha Thomas Tuchel aliutaka sana, bila shaka anakuja kutatua shida kwenye suala la Mawinga, naamini ni ingizo zuri sanaView attachment 2300669
Tuma ankaunt nambaAuntie siku moja moja una akiliiiii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jirani utafute na jersey ya chelsea wakati mie natafuta ya ArsenalRaheem Sterling in Chelsea kit [emoji419] usajili ambao Kocha Thomas Tuchel aliutaka sana, bila shaka anakuja kutatua shida kwenye suala la Mawinga, naamini ni ingizo zuri sanaView attachment 2300669
Sawasawa
hahahaha,ufanye muamalaTatizo hajanitumia ankaunt yake ya benk
Sawa babe, natuma.Tuma ankaunt namba
🤣🤣🤣🤣hahahaha,ufanye muamala
Babe kazi ya kulinda nini?Unatumia silaha gani nikiupe kazi
Mmemfurahia Mane wetu 😂
Ndio si unajua vibarua wa Tanzania tumepewa nyongeza ya mshaharahahahaha,ufanye muamala
sawa nasubiriSawa babe, natuma.
Hahaha kuna kulinda mazao shambanBabe kazi ya kulinda nini?
Ooooh! Hapo sawa.Hahaha kuna kulinda mazao shamban
Maana watu wanapita nayo kushoto na kulia
Na ndege nao mchana wanaharibu
Shikamoooooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eenh
Au nawe unahitaji ulinzi mamaOoooh! Hapo sawa.
UpoooShikamoooooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]