Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,192
- 35,370
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] Acha kunipa dhambi ndogo ndogo basi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] Acha kunipa dhambi ndogo ndogo basi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]PA wako niko hapa...Msemaji wangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] aka haji manara wangu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Auntie anajua akipost jf itasimama sio kwa mshepu wa auntie yangu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtaachana tu alisikika mdada mmoja amekaa pale
Vifurushi vya Voda hivyo Auntie....[emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa hii jimixie huwa naiona tu ujue sijawahi jiunga sijui hata inakuwaga na nini
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nasemaaa hiviiii wataachana tu nipo nimekaa pale
Nywele zitakuja...Tulia tulia kidogo...Nitakushtua[emoji28]Mimi nataka tu nywele [emoji3064]
Mshepu naujua[emoji3059] nishawahi uona selfika zamani sana..
Nakusalimia Mndali....Ni njema Dada za hapo ulipo
Sawa we mzee huwa naendaga mara moja mojayeah nilikua hapo.hata week end hii nitakua hapo
Nitaijaribu sijawahi itumiaNaonaga kama ina unafuu flani
Salama kaka karibuNi njema Dada za hapo ulipo
Kwani vina mda basi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] Unajitahidi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]PA wako niko hapa...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hapana auntie huo ndio ukweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Auntie umeanza.....
[emoji23][emoji23][emoji23] Kwani vina mda sasa si unajua mapenzi mwanzoni yanavyokuwa matamu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kamati ya Roho mbaya kazini[emoji3]
Huwa naviona sijawahi ungaVifurushi vya Voda hivyo Auntie....
Wanakuja na Packages tofauti tofauti waendelee kutukamata tu...
Yaani enzi zile jamani haiwezi rudi kabisaNywele zitakuja...Tulia tulia kidogo...Nitakushtua[emoji28]
Umenikumbusha zile enzi za Selfika....Wueeeh!!!!Tulijua kujibamba jamani.[emoji28]
siku ukienda niambie tukutane hapoSawa we mzee huwa naendaga mara moja moja
unatumia kifurushi cha mtandao ganiHuwa naviona sijawahi unga