Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,192
- 35,370
Ndiyo...si unajua Insta inavyokula bundle Auntie...Instagram niisahau kivipi yaani hizo gb huingii insta auntie ebu nifafanulie na elfu 3 wanaaanzia gb ngapi
Sasa bundle bila kuingia insta kweliii. [emoji1787] hili litakuwa bunle kama la tigo la social
3,000/= Unapata Gb 1.5 au 6 kama sikosei.. na Halikai.