Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,192
- 35,370
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]karibuni
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]karibuni
Eenh we mzee usiniambie ulikuwa mawasiliano parkTukuyu band si mchezo,hawa vijana
Wazima kaka habari yakoWazima humu?
Nipo apa we mzee jamani unaendeleaje
Msemaji wangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] aka haji manara wanguSijambo MC....
Habari ya wewe?
Salamu zimefika kabisa....ila kaniambia kwa hii hali ya hewa coffee anaweza kupata wapi? Kwa offer yako[emoji1787]
Mtaachana tu alisikika mdada mmoja amekaa palePenziii jipyaaaa...
[emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa hii jimixie huwa naiona tu ujue sijawahi jiunga sijui hata inakuwaga na niniHe he he....Mtoto mlito mlito[emoji1787][emoji1787]
Kasema anamaliza kununua kufurushi cha JIMIXIE - Internet, anakuja...
Atakuita[emoji1787]
Nasemaaa hiviiii wataachana tu nipo nimekaa paleNdiyo ndiyo Shem....
Penzi lipo Site..Tukate simu au niaje?[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aje chaap kabla sijawaambia voda wamuibie hizo MBs
niko poa.nilikumithi thanaNipo apa we mzee jamani unaendeleaje
yeah nilikua hapo.hata week end hii nitakua hapoEenh we mzee usiniambie ulikuwa mawasiliano park
Naonaga kama ina unafuu flani[emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa hii jimixie huwa naiona tu ujue sijawahi jiunga sijui hata inakuwaga na nini
Mimi nataka tu nywele 🥺Auntie anajua akipost jf itasimama sio kwa mshepu wa auntie yangu
Ni njema Dada za hapo ulipoWazima kaka habari yako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakenya wanakuambia....
Aki Mapenzi wewe!!! Nikikupata....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtaachana tu alisikika mdada mmoja amekaa pale