Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
Ngojaa nijionee...uko poa lakiniKwani vina mda basi
Ngojaa nijionee...uko poa lakiniKwani vina mda basi
Hongera zako acha tukupe hongera kwa kupata penzi jipya niko poa kabisaNgojaa nijionee...uko poa lakini
Voda na tigo we mzeeunatumia kifurushi cha mtandao gani
Hakuna shida we mzeesiku ukienda niambie tukutane hapo
sawa shangaziHakuna shida we mzee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hapana auntie huo ndio ukweli
Kuna mtu moyo wake umekudondokea Auntie?[emoji1787]
Napona nikipata penzi lako [emoji3059][emoji3059]
Yananitoka macho nikikuona kwa mbali
Nakosa usingizi usipokuwepo silali [emoji8]
Nafata ulichonacho sijapata sallary [emoji847]
Utanifanya chizi kama utakwenda mbali [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Napona nikipata penzi lako [emoji3059][emoji3059]
Yananitoka macho nikikuona kwa mbali
Nakosa usingizi usipokuwepo silali [emoji8]
Nafata ulichonacho sijapata sallary [emoji847]
Utanifanya chizi kama utakwenda mbali [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aloooh auntie niacheeee penzi lipo siteeeeeeeKuna mtu moyo wake umekudondokea Auntie?[emoji1787]
Hahahha we mzee bwanaddah kn mtu kapewa nafasi hapa
Auntie ebu njoo hii jimixie bundle wanakupa gb ngapi za week maana nataka kujiunga hawasemi wanaanza na kiasi imebidi nicancelKuna mtu moyo wake umekudondokea Auntie?[emoji1787]
mambo vp?naona shangazi unaimbisha mjomba, uko vzr ktk kumteka mtu shangaziHahahha we mzee bwana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Auntie ebu njoo hii jimixie bundle wanakupa gb ngapi za week maana nataka kujiunga hawasemi wanaanza na kiasi imebidi nicancel
kwani shangazi unatumia mtandao gani,unakusumbua hvAuntie ebu njoo hii jimixie bundle wanakupa gb ngapi za week maana nataka kujiunga hawasemi wanaanza na kiasi imebidi nicancel
Kata simu....kata simu[emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aloooh auntie niacheeee penzi lipo siteeeeeee
Anataka leo ajiunge Voda..kwani shangazi unatumia mtandao gani,unakusumbua hv
Sasa Auntie....Iko hivi,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngoja nikuletee Auntie
anatumia mtandao gani b4 leo kujiunga voda?Anataka leo ajiunge Voda..
Ngoja aje atujibu[emoji28]anatumia mtandao gani b4 leo kujiunga voda?