Sijambo MC....
Nimekumis sanaSijambo kabisa Shem lake.... za wewe?
Nimekumisipo Shem!!!!
Nilidhani utasahau kidogo....kupoe poe kwanza[emoji28]Naanzia wapi kusahau [emoji16]
Dah, si ungeni’cc wewe mpostiji?
Akija anishtue anytime, niko pale namsubiria
Mimi zaidi jameni...Nimekumis sana
Kupoa kabisa haifai, vuguvugu ndio mwakee…Nilidhani utasahau kidogo....kupoe poe kwanza[emoji28]
Nilitaka kuku'cc... Shunie kinganganizi akaniambia niache ataifikisha....kumbe holla!!!!
Shunie hebu kuja Auntie....Najua leo upo off.....No excuse..
Mimi zaidi jameni...
Umepotea hadi ukapotezwa tena[emoji1787]
He he he....Mtoto mlito mlito[emoji1787][emoji1787]Kupoa kabisa haifai, vuguvugu ndio mwakee…
Shunie mtoto wa kuwaka bila taa ndio ukanikatilia kwa namna hiyo ee [emoji3064]
Namsubiria [emoji2101]
Ndiyo ndiyo Shem....Penziii jipyaaaa...
Kata simuuuu..Ndiyo ndiyo Shem....
Penzi lipo Site..Tukate simu au niaje?[emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kata simuuuu..
ilikua aje K TEA SHOPSijambo MC....
Habari ya wewe?
Salamu zimefika kabisa....ila kaniambia kwa hii hali ya hewa coffee anaweza kupata wapi? Kwa offer yako[emoji1787]
Sasa Ikawaje tena?ilikua aje K TEA SHOP
ungemwambia ajeSasa Ikawaje tena?
Oooooh...Sawa...ungemwambia aje
Aje chaap kabla sijawaambia voda wamuibie hizo MBsHe he he....Mtoto mlito mlito[emoji1787][emoji1787]
Kasema anamaliza kununua kufurushi cha JIMIXIE - Internet, anakuja...
Atakuita[emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aje chaap kabla sijawaambia voda wamuibie hizo MBs
karibuniOooooh...Sawa...
Wakati mwingine tena MC....tutakuja wote[emoji28]