Makapuku Forum

Makapuku Forum

...sawa lakini nimebadilika siku hizi, huoni ninajisogeza kwa Maki, sasa akijua kuhusu hilo anko alilokuwa ananisingizia nitaonekana siko makini kabisa.
Mwenzako nimepanga nikija Daslamu niende nikatembee pale kwenye daraja la Tanzanite nikapige picha na nimemwomba Makiwendo achukue mapumziko anipeleke darajani afu tunachangia bajaji inatupeleka Kitambaa cheupe
Aloooh kuchangia bajaji tena hapana jamaniiii [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mweeeeh!!!!

Namna hii si nitafika mbinguni miguu imevimba Auntie[emoji1787]Maana siyo kwa balaa la huyu uncle wako...
....acha woga, ujue kadri aunt yangu anavyonisagia kunguni napata mawazo ya kuachana na bajaji ya kuchangia nitoke zangu Mtwara na bodaboda langu hadi Dar.

Tena nasikia mafuta ni rahisi hapo Dar, nikiweka wakati wa kuja unaweka wakati wa mizunguko, mimi naendesha tu unanionesha mji
 
Back
Top Bottom