Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
ZORAN AMLETA OUATTARA [emoji881]
.
Inaelezwa mara baada ya kusaini mkataba wa kuinoa Simba, Zoran Maki alielezwa kikosi kina shida ya beki wa kati baada ya kuachana na Pascal Wawa.
.
Zoran aliwaeleza viongozi hao wa Simba wamvute beki wa kati wa Al Hilal inayoshiriki Ligi Kuu ya Sudan, Mohamed Ouattara (29) raia wa Burkina Faso.
.
Inadaiwa Zoran aliwaambia viongozi hao wa Simba ana uhakika na kiwango bora cha Ouattara, kwani amewahi kufanya nae kazi kwa mafanikio katika klabu mbili tofauti na zote alikuwa akimtumia katika kikosi cha kwanza akianza naye Wydad Casablanca kisha Al Hilal.