Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani lina hekaheka acha kabisa. Mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wachaaa!!!!

Kuna mtu alisema penzi jipya mnaweza kuchart Watsap,Msg za kawaida, Instagram, n.k..kwa wakati mmoja, mada tofauti [emoji1787]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wachaaa!!!!

Kuna mtu alisema penzi jipya mnaweza kuchart Watsap,Msg za kawaida, Instagram, n.k..kwa wakati mmoja, mada tofauti [emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ujinga mtupu. Woooi!
Mie nawaza vikoba huo muda nautoa wapi. Labda hizo msg ziwe za "imethibitishwa..."
 
Ndiyo Ipo...tena ukipata ule wa unga....

Unachanganya na rozela na Iliki.... Wueeh! Utajibamba...
Ukishindwa kutengeneza...nitumie[emoji28]
Ninao wa unga kama kilo 3 sijui 4. Sijawahi utumia. Sasa mie damu yote hii ninywe tena lozera si itakuwa balaa[emoji134][emoji134]

Tuma hela nikutumie[emoji12][emoji12][emoji12]
 
Back
Top Bottom