Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] auntie yangu una ufala mob sanaUwueeeeeeh!!!!
Auntie wangu Bi.Mzuri....[emoji8]
Tangazo limekaa vyema...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] auntie yangu una ufala mob sanaUwueeeeeeh!!!!
Auntie wangu Bi.Mzuri....[emoji8]
Tangazo limekaa vyema...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sasa auntie yako siku ukinikuta pale usishangae[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndiyo hiyo mitaa na mimi niliona Auntie....
Na Inavutia jamani....siku moja nitapitia aiseee
Me niliingia kipindi inaanzaYaaaani...Pamebadilika mno...
Nikikumbuka wakati Panaanza kulivyokuwa na saa hii[emoji119]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] auntie yangu una ufala mob sana
Kwa nini Nishangae Auntie?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sasa auntie yako siku ukinikuta pale usishangae
Wewe tena Auntie...Me niliingia kipindi inaanza
[emoji23][emoji23][emoji23] Umeichukua unaipeleka wapi auntie[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nimecheka Auntie...
Hiyo picha nimeichukua...Ukihitaji tena uniambie
Ila Espy usimpe[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umefikaje fikaje yaani huku tuachie sisiKwa nini Nishangae Auntie?
Siyo mimi Auntie...
Mwenyewe najiona hapo siku si nyingi..
Yaani kwakweli tumeshazeeka jamani acha tu tujinywee ndaniWewe tena Auntie...
Saa hii ukiamua ujilalie zako ndani...Ni sawa tu....Maana nadhani huwa unajiambia ni nini sijaona[emoji3]
hahahahaha,ooh sawa[emoji23][emoji23][emoji23] Sasa we mzee hao si wanajua nyama wanakula ni ya mbwa
Sasa me nakula vimishkakiii usikute nalishwa nyama ya mbwa sijijui
Mrembo 😘😘Auntieee tupate tangazo kidogo kutoka kwa wadhamini [emoji847]View attachment 2287439
[emoji23][emoji23][emoji23] kwamba nipo nauza team natural hair utatujua tu umeona vatika tu na parachuti[emoji23][emoji23][emoji23] umeamishia kaduka room?
Naja kununua hiyo vatika ama parachuti
Kidogo tu mrembo wangu [emoji6]Mrembo [emoji8][emoji8]
Mwanamke dressing table [emoji7]
Uko vizuri [emoji6]
We mzee bwanahahahahaha,ooh sawa
Naona cantu.. kama kuna cantu hair styling gel nakuja kununua 🤪[emoji23][emoji23][emoji23] kwamba nipo nauza team natural hair utatujua tu umeona vatika tu na parachuti
Hamna bana 😘😘 uko bien sanaKidogo tu mrembo wangu [emoji6]
Hahahha hiyo cantu moisturising curl activator cream nyuma yake soft free activator lotion [emoji23][emoji23] argan oil imefichika ila umeiona hivyo vingine fanya tu kugoogle bwanaNaona cantu.. kama kuna cantu hair styling gel nakuja kununua [emoji2957]
Na kwa mbali kama argan oil
Vingine sasa labda niende google[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23] Umeanza lini hizi mambo za kujaza watuHamna bana [emoji8][emoji8] uko bien sana
Mtoto unawaka bila taa