Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,636
Enjoy![]()
![]()
![]()
![]()
Sio dhambi jamani nasaidia kulipa kodi......Maisha wenyewe mafupi
Kitwanga oyeeeee
.........
Enjoy![]()
![]()
![]()
![]()
mi mzima, naangalia kitimu cha old traffordMzima sana sijui wewe?
Aisee mkuu.![]()
Sio dhambi jamani nasaidia kulipa kodi......Maisha wenyewe mafupi
![]()
![]()
![]()
.........
POMBE AMTWANGA KITWANGA BAADA YA KITWANGA KUTWANGA POMBE...
Eti Kitwanga katwangwa na Pombe baada ya Pombe kumtwanga Kitwanga wakati kitwanga alipokuwa anatwangwa maswali Bungeni. Akitwanga swali alilotwangwa bungeni, kitwanga alijikuta akitwanga majibu yaliyotwangwa na pombe kitendo kilichopelekea Pombe kumtwanga kitwanga. Kwa mantiki hiyo kitwanga ataendelea kutwanga Pombe nje ya utawala wa Pombe. Wachambuzi wa maswala ya saikolojia wanasema Pombe si rafiki wa kuamiana naye. Sasa swali la kujiuliaa hapa ni Je Kitwanga asinge twanga pombe je Pombe angemtwanga kitwanga. Je, ni nani mbaya,Je ni Pombe alivyomtwanga kitwanga au kitwanga alivyotwanga Pombe..![]()
Bahati imemdondokea amaizingHope uliitupia
Pombe kamtwanga KitwangaPOMBE AMTWANGA KITWANGA BAADA YA KITWANGA KUTWANGA POMBE...
Eti Kitwanga katwangwa na Pombe baada ya Pombe kumtwanga Kitwanga wakati kitwanga alipokuwa anatwangwa maswali Bungeni. Akitwanga swali alilotwangwa bungeni, kitwanga alijikuta akitwanga majibu yaliyotwangwa na pombe kitendo kilichopelekea Pombe kumtwanga kitwanga. Kwa mantiki hiyo kitwanga ataendelea kutwanga Pombe nje ya utawala wa Pombe. Wachambuzi wa maswala ya saikolojia wanasema Pombe si rafiki wa kuamiana naye. Sasa swali la kujiuliaa hapa ni Je Kitwanga asinge twanga pombe je Pombe angemtwanga kitwanga. Je, ni nani mbaya,Je ni Pombe alivyomtwanga kitwanga au kitwanga alivyotwanga Pombe..![]()

Kabisa mkuu![]()
Sio dhambi jamani nasaidia kulipa kodi......Maisha wenyewe mafupi
Kitwanga oyeeeee
![]()
![]()
![]()
.........
Sihitaji VITWANGA wengiAisee mkuu.
Uko maeneo gani nikujoin!
Ndio Shem. KaribuuuuKumbe kule
ili tuthibitishe huo weupePicha tena?
Atwangwe tu maana amezidi Kutwanga pombe.Pombe kamtwanga Kitwanga
![]()
![]()
![]()
![]()
Sio dhambi jamani nasaidia kulipa kodi......Maisha wenyewe mafupi
Kitwanga oyeeeee
![]()
![]()
![]()
.........
Asante sana Shem. Nitakuja lizziebettieNdio Shem. Karibuuuu
Acha roho mbaya mkuu.Sihitaji VITWANGA wengi
![]()
![]()
![]()
![]()
........
Hahaha...![]()
![]()
![]()
Hivi nani aligundua haya maji?
Na kwanini alifanya ugunduzi huu??
Ukuje nae tu,,,maana hakuna namnaAsante sana Shem. Nitakuja lizziebettie
teh teh tehAtwangwe tu maana amezidi Kutwanga pombe.
Nahisi ni Kitwanga Einstein...aligundua ili itusaidie kusahau shida zetu![]()
![]()
![]()
Hivi nani aligundua haya maji?
Na kwanini alifanya ugunduzi huu??