amaizing
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 3,616
- 12,398
Wow,asante41k hongera best!!
Nimeotea Kwa Mara ya pili
Wow,asante41k hongera best!!
Asante sana mpenzi wanguLove u too babe
Yo welcome!Asante sana mpenzi wangu
Muda mwngne kuandika neno zima kunachoshaHili ni janga la kitaifa.

Ni kweli..Muda mwngne kuandika neno zima kunachosha
Ila sio tabia nzur![]()
Usilie chukua hiyo

Hiyo itabid nichanganye na nyagiiiiUsilie chukua hiyo![]()
Mzima sana sijui wewe?kweli mkuu, umzima?
Vipi tena mbona umekodoa macho???
Poa sijui wewe wifiNiadje mamy?
Hiyo mixer yako tuVipi tena mbona umekodoa macho???
Mie mzima mamyPoa sijui wewe wifi
Iko poa eehhh???Hiyo mixer yako tu
Asante sanaKweli hii forum mmetisha. Mnaushirikiano sana, mko active kuliko platforms nyingine zote za JF