[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa Toto....
Na hela yangu ninavyoipenda....siwezi[emoji1787]
Hahaa ongea naye huyo huyo
Akhu mama atanichapaHebu nifate chemba basi [emoji56][emoji56] kabla mabomu ya Urusi hayajalipua ghala zangu za silaha
Unaanzaje kuhama wakati sisi ndiyo ndugu zakoMsinioneee, yeye ndio alianza kuniita mimi kimandoli. Ila mimi ndio naonekana[emoji134][emoji134]
Hii familia jamani, ipo siku nitahama tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyo Ruge na bil nas ndio maex zako au ndio wa sasa hivi?
Inamaana yule andunje mwenye kichwa kama kibaraza mshaachana?
Natafuta ndugu wengine.Unaanzaje kuhama wakati sisi ndiyo ndugu zako
Kuweza auntieNatafuta ndugu wengine.