Huyu ndo katukosesha ubingwa...pira linapigwaa haswaaCAPTAIN SULEIMAN ABDALLAH MATOLA ‘VERON’
Attacking football[emoji119] ananikumbusha ile Lipuli pale Iringa, mazoezini anakwambia kila Mtu achezeView attachment 2266125
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kocha wake Pitso alipo anafurahi kuona Mchezaji wake alielewa darasa kuhusu kushambulia non stopView attachment 2266130
Wampe veron selle
Hivi hili neno huwa lina maana gani auntie?Kuweza auntie
Maana yake auntie je we unawezaaaHivi hili neno huwa lina maana gani auntie?
Asante kwa kushukuruAsantee shunie kwa magazeti
Usituache bana jamani ujue ukiondoka wewe familia nzima imesambaratikaNatafuta ndugu wengine.
Kama wataanza kuchukua waliofaulu vizuri tu basi na waanze kuwalipa vizuri sasa hakuna visingizio tenaRais Samia leo amezindua Mwanamke Initiativea Foundation (MIF) visiwani Zanzibar ambapo amesema Watu wanaopewa fursa ya kuchaguliwa kusomea ualimu wanapaswa kuwa wale waliofaulu vizuri darasani na sio wenye ufaulu mdogo ambao wamekosa pa kukimbilia.
Rais Samia amesema “Miaka ya katikati hapa tulikuwa tunachukua Walimu tu kwasababu, Walimu mlioko hapa mtanisamehe, tulikuwa tunachukua Walimu wale ambao darasani alikuwa wa 20 au wa 30 kamaliza Shule hakupata kuendelea (hakufaulu), hakuna kazi nyingine, suluhisho kazi ilikuwa ualimu, kumbe ilikuwa tunaua elimu yetu”
“Mwalimu alitakiwa yule ambaye alikuwa na ufaulu mzuri darasani ndiye awe Mwalimu, Mwalimu awe amefaulu zaidi katika masomo yake (Sio yule ambaye hajafaulu vizuri kisha amekosa pa kukimbilia)View attachment 2266105
Ndio naweza jamani.Maana yake auntie je we unawezaaa