....najua unadhani!? Nimekumbuka tu wakati nasoma cheti cha uhudumu bankKumbe kuna riba!! Hiyo overdraft ndio nini?
....najua unadhani!? Nimekumbuka tu wakati nasoma cheti cha uhudumu bank
Serious note:
Baadhi ya bank, ukiwa mteja mwaminifu wanaweza kukuruhusu kuchukua pesa na ukailipa ndani ya mwezi.
Mfano, unaenda kununua bidhaa na ukatumia kadi lakini salio lako halitoshi basi bank inatosheleza salio na utawalipa. Au una hitaji laki 6 mfano, unaenda ATM unachukua pesa then utakapoingiziwa pesa within that month wanakata chao, ukizidisha mwezi wanakufungia huduma ya overdraft.
Nimejieleza vema au nilete notes!?
Mwambie huyo.
Mkwe nimekumisimo
Ni njema my choice wangu habar za hapo ulipoBabe Mndali ndanyelakakomu naona unapita kwa kunyata! Habari ya weye?
Mabebi zanguMkwe wewe si naona umefichwa na mabebi zako kina Mndali ndanyelakakomu
Salama kabisa babe. Urudi nyumbani sasa, tumekumiss.Ni njema my choice wangu habar za hapo ulipo
Mkuu nikitoka Malawi huku nakuja kukutafuta maana inaonekana unawinda nilipo wekezaMkwe wewe si naona umefichwa na mabebi zako kina Mndali ndanyelakakomu
Narudi wiki ijayo maana nimepata taarifa bibi anaumwa huko kijijini kwaoSalama kabisa babe. Urudi nyumbani sasa, tumekumiss.
Kwahiyo bibi angekuwa haumwi usingerudi?Narudi wiki ijayo maana nimepata taarifa bibi anaumwa huko kijijini kwao
Hata mi nimekumis familia hasa wewe mama yaoo
Mabebi zangu
Unamaanisha wangapi?
Mkuu nikitoka Malawi huku nakuja kukutafuta maana inaonekana unawinda nilipo wekeza
....hadi ufike utakuta kodi zishaanza kutumikaMkuu nikitoka Malawi huku nakuja kukutafuta maana inaonekana unawinda nilipo wekeza
Haha watu wanakujaza unajua wanakukubali kumbe wenzio wanakuchora tuSasa wengine hawajui ukisifiwa unalipuka tu unaona sawa tu kumbe nyuma ya kisogo watu wanakung'ong'a
Mmmmh kama nakumbuka sakayo alikuwa na Mme mwingne sio huyu
Nilikuwa bado kidogo ila nalazimika kurudiKwahiyo bibi angekuwa haumwi usingerudi?
Mungu amponye bibi.
Unataka kusema nini we Mzee Mimi ni mmliki halali sasa huyo unae taka kumtaja unataka kuleta vita ya NNE ya dunia maana ya tatu tayari imepitaERoni Mndali ndanyelakakomu wengine ngoja niendelee kuangalia kwenye dayari hapa
Oooh ndio ananitambulisha kuwa unamiliki sakayoMzee baba relax, siwezi kula kuku na mayai yake