Ahsante Auntie...me sanaaa auntie ebu siku tupange tukae masaki uko kwa wazungu hata carambezi au fish market tumwagilie moyo bwana weeeh maisha ndio hayahaya na hela tunatafuta au kama vipi tukae hata uswahilini kwetu
Unapendwa sana na shuniehahahahaha,tuko pamoja
Naam auntie kambi popoteAhsante Auntie...
Popote tu Auntie tutaweka kambi....
Tumwagilie moyo kidogo
Kwamba atupee mpenzi wakeauntie we kuwezaaa
Atupee huyo Mnyaki Auntie...
Tumwoneshe ni kwa nini walisema Tanga ndiko mapenzi yalipozaliwa
Sasa Auntie hapa itakuwaje? Maana ndiyo mambo yako haya"Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki zimekubaliana kuongeza Ushuru wa Forodha kutoka asilimia 25 hadi asilimia 35 kwenye nywele bandia zinazotambulika kwa
Heading 6704"
"Hatua hii inalenga kulinda wazalishaji wa ndani wa bidhaa hizo, kuongeza ajira pamoja na kuongeza mapato ya Serikali" ——— Dr. Mwigulu
hata mkiweka 100% tutanunua tuView attachment 2261648
Naaaaam...Naam auntie kambi popote
Kabisa....na wanyaki wanapenda bwanaaa
Sasa Auntie hapa itakuwaje? Maana ndiyo mambo yako haya
Mimi nitabaki kwenye para langu hili hili....
Kuna mda najiuliza huyu auntie yangu au I'd imehuckiwaKabisa....
Huoni Ndugu yetu ujeuri wote pale umeisha...
Uko wapi nikupitie ila gari yangu haina AC.. sijui kama utaiweza
Auntie mwenyewe ujue niko na para langu natural sema wigi navaa nikitoka kazini hunikuti na wig
Nasema hiviii hata wakipandisha vipiiiii tutanunua wasitutishe
He he he....Uko wapi nikupitie ila gari yangu haina AC.. sijui kama utaiweza