alafu kwanini ulikata ile course pale Havard ambayo wanakutana matajiri na viongozi wakubwa wakubwa tu duniani nakumbuka hata Sumaye alifanya ile course ya mambo ya Leadership sijui.. au biashara zimekutinga
Unamkaribisha chai aina gani na mkate wa aina gani ? Huyu ana mikate yangu maalumu huwa inatoka Egypt kitu kama sikosei na chai yake ni maalumu sidhani kama majani yanapatikana kwa mangi