Makapuku Forum

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Baada ya salamu si unaleta hata story tu jamani..[emoji28]
 
Asubuhi nilikuta gari yako pale mitaa masaki pale walipo mtekeaga tajiri mwemzako Mudi, sijui hotel gani ile ija jina gumu gumu. nikajipiga kifuani nikasema dada yanguu huyoo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila HM... sasa mimi huko Masaki naenda kufanyaje jamani?

Mitaa yenu hiyo.. si unaona hadi Hotel unaijua[emoji2]
 
Hata hicho sawa tu Tajiri[emoji1]
Uzuri Tajiri amalizi mwaka na gari hilo hilo..
Ewaa.. umeisha badirisha tayari ? ndio maana juzi nilipita ofisini kwako sehemu ya kupakia gari yako nikakuta Range Rover autobiography mpya namba DZD nikasema una mgeni kumbe ni wewe.. Hongera sana Tajiri dada yangu, nitamuambia na dada Hadde huenda hana hizi taarifa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimecheka sana.... Usitake kujua ni kiasi gani nimeangua kicheko...

Hiyo life mbona sijifikia Broh!!! Life ya Kiduku Lilo hiyo....Na wewe ukiwa kwenye list...
 
πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’ Kitu DZD Autobiography ni πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ kina Shunie hujawapa hata lift au kwakua unafanya siri.. Inabidi unisamehe kwa kuwa kihele hele kusema una Range Rover mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…